We are not just a restaurant or just a bar… We are more than a bar & restaurant
Hii ni campaign yetu mpya samaki samaki, yenye vitu vipya na bomba. Fika branch zetu upate kufurahia campaign yetu.
Book NowTunaamini kuwa huduma nzuri huanzia pale unapokaa, kwasababu place influence perception. Na sisi tunapenda mteja ukija kwetu ukae sehemu ambayo uko comfortable, hivyo basi panga event yako (i.e birthday, get-together, meeting, graduation, anniversary .e.t.c) kwa kufanya reservation either partial or full venue buy out. Pia unaweza fanya reservation ya kuhudhuria events zetu (weekly events and big events). Karibu sana!
Are you aware of the events happening in all our branches? we have the daily events and big events. Don’t miss out!
Friday ni siku ya kuparty hard ndio maana tuna iita Mad Friday yaani tunaparty mpaka tunavurugwa. Ni siku ambayo tunakuletea many and big entertainment suprises kama Party o’clock, ambayo inakuja na performance tofauti kama dancers, ngoma, saxophonist na suprise nyingine kibao Sponsored by Hennessey. Sio ya kukosa.
Book NowWe call it Lamba night because kila jumamosi tunagawa candies kama present ndogo kwa wateja wetu. Katika sweet Saturday sponsored by Konyagi tunakuwa pia na big suprises za performances zinazokuja na party o’clock.
Book NowKila jumapili ni super sunday kwetu sponsored by Pearly bay and Exim bank. Tunakuwa na live band Mlimani branch kutoka kwa skylight band na tunakuwa na Samakisamaki djz masaki wakituburudisha na playlist kabambe.
Book Now