party o'clock
this is a culture in samakisamaki where we shift from a restaurant to a club theme. Kwa kiswahili tunasema kwenda kwenye kilele cha burudani. All lights out and the actual party begins!. Don’t miss out on Fridays and Saturday in both our branches.
SAMAKI SAMAKI LIVE MATCHES
Samaki Samaki ni sehemu pekee ambayo unaweza kutizama live matches kwenye HD TV screens zetu zaidi ya 45. Karibu sana kwetu...All football league matches at Masaki & MlimaniCity. Watch live matches on our big Tv screens.
SAMAKI SAMAKI FITNESS CLUB
Tupo vizuri kila sector & ili kuendelea kukupatia vitu vizuri lazima tuwe kamili gado. Chama letu la mazoezi lipo every Tuesday. Karibu sana, unaweza kujinga na chama letu pia.
Daktari furaha
Daktari Furaha yupo kwaajili ya wote ...Na tena anatoa matibabu yake bureee kwa wote. Daktari hubeba Lita 20 za cocktail kwaajili yenu tu. Kama una matatizo ya Aibu, Uoga, Stress, Huzuni, Ukorofi, Karaha au unataka kuongeza hisia basi karibu uonane na #DaktariFuraha kila weekend at Samaki Samaki.
SAMAKI SAMAKI BODABODA
Hii special kwaajili ya kukuletea vinywaji vyako ukiwa umenyuti katika chimbo lako ndani ya samaki samaki. Huduma yetu ya hii, itabidi uagizie special buckets and bottles ndani ya samaki samaki… for more info. Usiogope kuuliza kwa service team yetu.
TEQUILA LADIES
Our Tequila Ladies...watoto yente yente, mukidii mukidee...Ukiwaona pande za samakisamaki Masaki & MLIMANI city Usisite kuwaita & kupata shots zako za kutosha.
KARAOKE
Live karaoke hosted by Rukii kwa branch yetu ya masaki kila jumatano. Come Sing your heart out!